Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Kibada, Dar Es Salaam (2500 sqm)

Huduma na Sifa
Maelezo
🏡 NYUMBA YA KIFAHARI INAUZWA – KIGAMBONI KIBADA
✨ Eneo kubwa lenye mazingira tulivu na ya kisasa sana!
📍 Kigamboni Kibada
📐 SQM 2,500
🛏️ Vyumba 6 (4 Master)
🌳 Garden kubwa & Parking ya kutosha
📄 Hati ya Wizara
💰 Bei: Bilioni 1.2 Maongezi yapo
✅ Inafaa kwa makazi ya kifahari, uwekezaji au family residence.
📞 Wahi kuwasiliana kwa maelezo zaidi na viewing.















