Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Kibaha Sofu, Pwani (1400 sqm)

Aina
Nyumba
Vyumba
6
Ukubwa
1400 SQM
Barabara ya Karibu
2km — Morogoro Road
Huduma na Sifa
Maelezo
🏡 NYUMBA INAUZWA – KIBAHA SOFU 🏡
Unatafuta nyumba ya kuishi au uwekezaji wenye thamani? Hii ndiyo fursa yako.
📍 Location: Kibaha Sofu
🛣️ Umbali: Kilomita 2 tu kutoka Morogoro Road
📐 Ukubwa wa Kiwanja: SQM 1,400
Sifa za Nyumba:
✅ Nyumba ina side mbili (2 units)
✅ Kila upande una vyumba 3 vya kulala
✅ Jumla ya Master Bedrooms 2
✅ Muundo mzuri, eneo kubwa na mazingira tulivu
Inafaa kwa:
🏢 Apartment za kupangisha
🏫 Nursery au Daycare Centre
🏡 Makazi ya familia
💼 Uwekezaji wa muda mrefu
💰 Bei: TZS Milioni 250 (Inajadiliwa).
Usikose nafasi ya kumiliki nyumba yenye eneo kubwa na matumizi mbalimbali katika eneo linalokua kwa kasi.
📞 Wasiliana nasi leo kupanga kuja kuiona na kupata maelezo zaidi.















