Tafuta

Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Mbezi Kwa Msuguri, Dar Es Salaam (1000 sqm)

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 280,000,000

Aina

Nyumba

House for sale in Mbezi

Vyumba

6

6 bedroom House for sale in Mbezi

Ukubwa

1000 SQM

Barabara ya Karibu

1km — Morogoro Road

Huduma na Sifa

Hati
Tiles
Makabati
Stoo
Feni
Modern Kitchen

Maelezo

FOR SALE 280,000,000/= 💥JUMBA LA KISASA KUBWA

BANGALOO KUBWA ZURI LENYE HATI MMILIKI LINAUZWA MILIONI MIA MBILI 80 MAONGEZI YAPO (280,000,000/= ) MILION

💥 NYUMBA HII KUBWA LA KISASA LINA SIFA ZIFUATAZO

# VYUMBA 6 VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA

#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET ZIPO MBILI YAANI JUU GORAFANI NA CHINI PIA
STORE ZIPO 2
MAKABATI YA NGUO VYUMBANI

NYUMBA HII INA HATI MILIKI

UKUBWA WA ENEO NI:- SQUARE METER 1000

BEI YA KUUZWA NYUMBA HII NI SHILINGI MILIONI 280M MAONGEZI YAPO

🇹🇿 NYUMBA HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1 TUU HADI KWENYE NYUMBA

NYUMBA HII KWA SASA INAMPANGAJI NDANI ANALIPA KODI SHILINGI LAKI 8 (800,000/= TSH) KWA MWEZI

💥 Services Charge 50,000/=

Kwa maelezo zaidi piga :-

0712528820
0685221354

Mr.

Matangazo yanayofanana Mbezi, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Msakuzi, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 170,000,000

For Sale3 beds2 baths400 sqmhouse
  • Dining

  • Jiko

  • Makabati ya Jiko

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam (450 sqm)

Sh. 75,000,000

For Sale3 beds450 sqmhouse
  • Umeme

  • Stoo

  • Dining

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam (450 sqm)

Sh. 75,000,000

For Sale3 beds2 baths450 sqmhouse
  • Umeme

  • Stoo

  • Dining

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Beach Makonde, Dar Es Salaam (800 sqm)

Sh. 45,000,000

For Sale3 beds2 baths800 sqmhouse
  • Parking Space

  • Sebule

  • Jiko

Nyumba inauzwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 190,000,000

For Sale1,000 sqmhouse
  • Uzio

  • Parking Space

Nyumba inauzwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 190,000,000

For Sale1,000 sqmhouse
  • Parking Space

  • Uzio

  • Karibu na Barabara ya Lami

Nyumba inauzwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 190,000,000

For Sale1,000 sqmhouse
  • Uzio

  • Parking Space

Nyumba inauzwa Mbezi Beach Africana, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 135,000,000

For Sale400 sqmhouse
  • Karibu na Barabara

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Makabe, Dar Es Salaam (500 sqm)

Sh. 45,000,000

For Sale3 beds2 baths500 sqmhouse
  • Jiko

  • Dining

  • Sebule