Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Sinza (Kwa Remmy), Dar Es Salaam

Aina
Nyumba
Vyumba
6
Barabara ya Karibu
30m
Huduma na Sifa
Maelezo
🔥 HAINA UDALALI – UNAKUTANA MOJA KWA MOJA NA MUUZAJI! 🔥
🏡 NYUMBA KUBWA YA VYUMBA 6 INAUZWA – SINZA (KWA REMMY), DAR ES SALAAM
Unatafuta nyumba ya kifahari katikati ya jiji? Hii ni fursa adimu sana kupata nyumba kubwa kwenye eneo la prime location Sinza – inafaa kwa kuishi au kuingiza kipato kupitia upangishaji!
✨ SIFA ZA NYUMBA:
✔️ Vyumba 6 vya kulala (Master 1 kubwa)
✔️ Sebule kubwa + Dining
✔️ Jiko la kisasa
✔️ Servant Quarter (SQ)
✔️ Parking ya kutosha
✔️ Madirisha ya Aluminium
✔️ Eneo limepaving vizuri
✔️ Maji ya DAWASA yapo
✔️ Hati safi kabisa
📍 LOCATION:
• Hatua 30 tu kutoka barabara ya lami
• Dakika 20 tu kufika mjini
• Eneo tulivu, salama na la kisasa
💼 INAFAA KWA:
✔️ Makazi ya familia kubwa
✔️ Uwekezaji (Guest house / Kupangisha vyumba)
💰 BEI: MILIONI 400 TU (MAONGEZI YAPO)
📞 Usisite! Njoo uone – ukichelewa utajuta!
⚠️ WATEJA SERIOUS TU 0683 665504
