Nyumba ya vyumba 8 inauzwa Mabibo, Dar Es Salaam

Mabibo, Dar Es Salaam
3 days ago
Sh. 85,000,000
Huduma na Sifa
hostel
Maelezo
NYUMBA YA VYUMBA 8/ KIWANJA ,TZS.85 MILIONI,MABIBO N.I.T.
Ķwa sasa inatumika kama Hosteli ya Wanafunzi.
Ina Wapangaji kote.
Unaweza kuendelea kuokota Kodi,
Au kuiboresha ili kuokota Kodi zaidi.
Ama tena KUIREKEBISHA IWE YA-KISASA,
Yaani nyumba ya Familia moja.
Au APARTMENTS, napo utaingiza kipato zaidi.
WAHI.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
________________ryt






