Nyumba ya vyumba 8 inauzwa Magomeni Kagera, Dar Es Salaam

Magomeni, Dar Es Salaam
27 days ago
Sh. 230,000,000
Huduma na Sifa
Karibu na Barabara ya Lami
Maelezo
INAUZWA: VYUMBA 8, TZS.230 MIL, MAGOMENI-KAGERA.
Ipo jirani na Barabara ya Lami
Ni nyumba ya pande 3.
Kote kuna Wapangaji.
Endelea kuokota Kodi,
Njoo uishi na Familia yaki au tena
Boresha uifanye Air BnB.
WAHI UKICHELEWA SANA UTAIKOSA.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_______________ryt






