Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Madale, Dar Es Salaam







Madale, Ubungo, Dar Es Salaam
6 months ago
Sh. 700,000
Aina
Nyumba
Vyumba
4
Maelezo
Nyumba nzuri sana stand alone inapangishwa:
Room 4 masta 2
Dirning sitting jiko stoo public toilet na maji dawasco
Full makabati jikoni na vyumbani
Full A/C masta
Kodi- laki 7 kwa mwez kuanzia miez 6
Location- madale flamingo
Umbali-km 1 kutoka main road
0745559598
