Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Chanika Zingiziwa, Dar Es Salaam (600 sqm)

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
Sh. 55,000,000

Maelezo

Nyumba Inauzwa – TZS Milioni 55

Ipo Chanika Zingiziwa, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam.

Ukubwa wa Kiwanja: Meta za mraba 600, kikiwa na Hati Miliki

Sifa za Nyumba:

Vyumba viine, viwili Master , vingine kawaida

Sebule kubwa

Dining Room

Jiko

Stoo

Public Toilet