Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Dunga Vilayani, Zanzibar (8000 sqm)
Maelezo
🏡 TUNAUZA BANDALETU – DUNGA VILAYANI 🌴
💰 BEI: MILIONI 28 TU!
Bandaletu hili lina kiwanja kikubwa chenye ukubwa wa futi 100 × 80, eneo zuri sana na lenye nafasi ya kutosha kwa makazi au uwekezaji. 📍
✨ Lina: • Vyumba 4 • Master 1 • Jiko • Ukumbi • Kiwanja kikubwa
📍 Lipo karibu sana na barabara na pia karibu na huduma muhimu za kijamii.
Ni sehemu tulivu, nzuri kwa makazi na yenye fursa nzuri kwa uwekezaji. 🔥
Kwa milioni 28, unapata nyumba pamoja na kiwanja kikubwa katika eneo zuri.
⏰ WAHI MAPEMA USIKOSE FURSA HII!
📞 Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi.















