Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Goba Center, Dar Es Salaam (1200 sqm)
Goba, Dar Es Salaam
50 minutes ago
Sh. 550,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
✨Nyumba mpya kali sana ipo mtaa mzuri sana inauzwa Ina eneo kubwa
✨Ina pagola, gardens, cctvs cameras, remote gate, fensi ya umeme na parking kubwa
✨Ina vyumba vinne vikubwa vyote masterbedrooms, sebule kubwa, dinning na jiko kubwa lakisasa
✨Ukubwa wa kiwanja: sqmt 1,200
✨Bei: million 550 (maongezi yapo)
✨Location: GOBA CENTER
✨Documents: HATI MILIKI
✨Umiliki : Mmoja
🙏🏽karibu sana boss wangu















