Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Goba, Dar Es Salaam (250 sqm)


Aina
Nyumba
Vyumba
4
Ukubwa
250 SQM
Barabara ya Karibu
1km
Maelezo
#houseforsale
✨Nyumba nzuri sana inauzwa bei poa Ina vyumba vinne (4) vikubwa kimoja masterbedroom ,sebule kubwa, dinning na jiko lakisasa lenye makabati
✨Ina parvingblocks , gardens & parking
✨Documents: Upimaji
✨Ukubwa sqmt 250
✨Location: Goba njia ya mbez beach massana (kilometer 1 kutoka lami)
✨Bei: million 95 (maongezi yapo kidogo sana)🙏🏽karibu sana boss wangu fanya kazi na madalali tuonaotambulika kisheria hepuka matapeli , ofisi zetu zinapatikana nyuma ya Skycity mall 0761061599















