Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Goba Kwa Awadhi, Dar Es Salaam (800 sqm)

video thumbnail
Sh. 500,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

4

Ukubwa

800 SQM

Barabara ya Karibu

800m — Goba Road

Huduma na Sifa

Air Conditioning
(Fence) Ukuta
Umeme
Bustani
Fence ya Umeme
Heater

Maelezo

Nyumba Mpya Kali Sana Inauzwa
Mahali: Goba Kwa Awadhi

Bei: Milioni 500

☑️Ukubwa: Sqm800
☑️Sifa: Vyumba 4, Vitatu Ni Master Sebule, Dining, Jiko & Choo
☑️Full Ac, Heater, Remote Gate, Garden, Fensi Ya Umeme, Security
☑️Nyumba Kubwa Ina Nafasi Nje Na Ndani
☑️Umbali: Mita 800 Kutoka Goba Road
☑️Unanunua Na Kuhamia

Gharama Ya Kuoneshwa Ni 50,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate.

Ofisini: Sinza Palestina (Kwa Babu Sea)

Call & Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988, 0622651649, 0650659988

Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏

#MasterRealEstate #MasterMijengo #DalaliMasterTz #whereluxurymeetslifestyle