Nyumba ya vyumba vinne inauzwa GOBA LASTANZA, Dar Es Salaam (850 sqm)

video thumbnail
Sh. 680,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

4

Ukubwa

850 SQM

Barabara ya Karibu

200m — lami

Huduma na Sifa

Hati
AirBnb
(Fence) Ukuta
Fence ya Umeme
Feni
Mpya

Maelezo

✨Nyumba nzuri sana mpya na kubwa inauzwa Ina vyumba vinne (vitatu ni masterbedrooms vina makabati yanguo), sebule kubwa, dinning na jiko lakisasa Lina makabati mazuri sana full Ac & heater

✨Ina Cctvs camera, fensi ya umeme na boycotta kubwa ya mfanyakazi au wageni

✨Documents: Ina hati miliki

✨Ukubwa 850

✨Location: GOBA LASTANZA -DSM (sekunde mbili kwa Mguu kutoka lami)

✨Bei million 680 (maongezi yapo mengi)

🙏🏽karibu sana boss wangu fanya kazi na madalali tuonaotambulika kisheria hepuka matapeli , ofisi zetu zinapatikana nyuma ya Skycity mall

🙏🏽kwa mawasiliano zaidi tupigie:0695511662