Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Goba Lastanza, Dar Es Salaam (850 sqm)

Goba, Ubungo, Dar Es Salaam
4 hours ago
Sh. 680,000,000
Aina
Nyumba
Vyumba
4
Ukubwa
850 SQM
Barabara ya Karibu
2sqm
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Hati
Servant Quarter
Maelezo
Nyumba bado ipo, wahi wahi wapendwa..
Nyumba nzuri sana na ni mpyaa kabisa hata mended ajakaa..
Ipo GOBA LASTANZA. Nyumba ya pili kutoka lami
Ina vyumba vinne , VYOTE MASTA. Na Servant Quarter (Master Bedroom)
Ukubwa wa eneo. SQM 850
BEI: TZS 680 Million (Maongezi yapo)
▪︎ Malipo Kwa Awamu ✅️
Full Documents: HATI✅️
Piga 0767 891 406 // 0785 682 800
#luganoorealestateagency
