Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Goba Njia Nne, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 350,000,000

Huduma na Sifa

Hati
Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Barabara
Dining Room
Modern Kitchen
Large Sitting Room

Maelezo

Nyumba bado ipo hii wapendwa..

Ipo ๐Ÿ“Dar es salaam, Ubungo, GOBA NJIA NNE (Mageti). Ipo karibu na lami, inafikika vizuri sana

Nyumba ina vyumba VINNE, Vyote Masta
Ina Sebule kubwa mno, Dining na Jiko kubwa la kisasa

Eneo SQM 500
BEI: TZS 350 Million (Maongezi yapo)

Full Documents: HATI โœ…๏ธ

Piga simu: 0767 891 406 // 0785 682 800

#luganoorealestateagency