Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Jeshini Msangani, Pwani (400 sqm)

video thumbnail
Msangani, Pwani
21 days ago
Sh. 28,000,000

Huduma na Sifa

Umeme
Maji
Karibu na Barabara ya Lami
Jiko
Sebule
Mkataba Wa Mauziano

Maelezo

NYUMBA YA VYUMBA VINNE, TSHS.28 MILIONI,KIBAHA KWA MATHIAS.

Eneo ni JESHINI MSANGANI.

Kiwanja kina ukubwa wa SQM.400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.

Vyumba 4 (2 Vyoo ndani)
Sebule, Jiko na Choo cha Familia ndani.

Ipo umbali wa kilomita 1 tu kutoka Barabara ya Lami inayoelekea Jeshini.

Gari inafika.

Huduma za Umeme na Maji zipo.

WAHI UJIOKOTEE,
HII HAITOKEI MARA NYIMGI.

______________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu.

+255 714 591 548

______________mpg

Matangazo yanayofanana Msangani, Pwani

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Msangani, Pwani

Sh. 80,000,000

  • Uzio

  • Bustani

  • Paving Blocks

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Msangani, Pwani

Sh. 80,000,000

  • Uzio

  • Bustani

  • Paving Blocks

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Jeshini Msangani, Pwani (400 sqm)

Sh. 28,000,000

  • Maji

  • Umeme

  • Karibu na Barabara ya Lami