Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kibada, Dar Es Salaam (1400 sqm)

Sh. 132,000,000

Maelezo

πŸ”₯ NYUMBA INAUZWA KIBADA – KISARAWE! 🏑

Nyumba nzuri sana inauzwa Kibada, Kisarawe, karibu kabisa na barabara. Eneo kubwa na lenye fursa nyingi kwa makazi na uwekezaji.

πŸ“ Eneo: Sqm 1,400
πŸ“œ Kiwanja kimepimwa na kina hati rasmi
🧱 Ujenzi umefikia takribani 80% β€” imebaki finishing kidogo tu
πŸ›‘οΈ Vifaa/miundombinu ya ulinzi vimewekwa

🏠 Nyumba ina:
πŸ›οΈ Vyumba 4 vya kulala β€” 3 Master
πŸ›‹οΈ Sebule kubwa sana
🍽️ Dining
🍳 Jiko kubwa sana
✨ Vyumba vikubwa na mpangilio mzuri

πŸ’° BEI YA KUTUPA: MILIONI 132 TU!
🀝 Mazungumzo yapo.

πŸ“ž 0699076969
πŸ’΅ Service charge: TZS 30,000

Matangazo mengine Kibada, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kibada, Dar Es Salaam (1300 sqm)

Sh. 500,000,000

For Sale4 beds1,300 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibada, Dar Es Salaam (900 sqm)

Sh. 67,000,000

For Sale3 beds1 bath900 sqmhouse