Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kibada, Dar Es Salaam (580 sqm)

Aina
Nyumba
Vyumba
4
Ukubwa
580 SQM
Barabara ya Karibu
400m
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA MPYA YA KISASA INAUZWA – KIGAMBONI KIBADA
Fursa ya kipekee ya kumiliki nyumba ya kisasa katika eneo tulivu na lenye maendeleo!
✨ Sifa za Nyumba:
* Vyumba 4 vya kulala (3 Master)
* Sebule kubwa
* Dining
* Jiko la kisasa
* Eneo la ukubwa wa SQM 580
* Hati ya Wizara (Title Deed)
🌟 Vifaa na Huduma:
* Kisima cha maji
* Electric Fence
* CCTV Camera
* Paving nzuri
* Garden ya kupumzikia
* Mazingira salama na mtaa mzuri
📍 Mahali:
* Mita 400 kutoka barabara kuu ya lami
* Kilomita 9 kutoka Ferry
* Kilomita 8 kutoka Daraja la Nyerere
💰 Bei: TZS Milioni 345
🤝 Mazungumzo kidogo yapo.
📞 0769554221
📍Service Charge 30,000
#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio
📍Viwanjakigamboni
📍Nyumbakigamboni
📍Dalalikigambonimbavu















