Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni Kisiwani, Dar Es Salaam (850 sqm)

video thumbnail
Sh. 115,000,000

Maelezo

🏑 NYUMBA NZURI INAUZWA KIGAMBONI KISIWANI – DAR ES SALAAM 🏑

Nyumba nzuri sana inauzwa eneo la Kigamboni Kisiwani, mazingira tulivu na salama kwa makazi ya familia pamoja na uwekezaji.

✨ SIFA ZA NYUMBA:
πŸ›οΈ Vyumba 4 vya kulala
πŸ›‹οΈ Sebule kubwa
🍽️ Dining
🍳 Jiko zuri
πŸ“ Eneo la sqm 850
πŸ“„ Kiwanja kimepimwa na kina Hati ya Wizara
⚑ Umeme upo
πŸ’§ Maji yapo

πŸ“ LOCATION:
πŸš— Kilomita 2 tu mpaka Darajani
⛴️ Kilomita 4 tu mpaka Ferry

πŸ”₯ FAIDA ZA ENEO:
βœ… Inafaa kuishi na familia
βœ… Inafaa kwa uwekezaji wa kupanga
βœ… Eneo kubwa unaweza kujenga:
β€’ Servant quarter
β€’ Vyumba vya kupangisha
β€’ Apartment au biashara nyingine

πŸ” Pia kuna sehemu ya mabanda kwa ajili ya kufugia kuku.

πŸ’° BEI: TSH Milioni 115 tu
🀝 Mazungumzo kidogo yapo

πŸ’΅ Service Charge: 30,000/= kwa site visit

πŸ“ž Call/WhatsApp: O719969102
.

Matangazo yanayofanana Kigamboni, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mikwambe, Kigamboni, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 95,000,000

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Karibu na Barabara

Nyumba inauzwa Kibada Kigamboni, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 350,000,000

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Karibu na Barabara

  • Ardhi Tambarare

Nyumba inauzwa Kibada Kigamboni, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 350,000,000

  • Ardhi Tambarare

  • Karibu na Barabara ya Lami

Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Geza, Kigamboni, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 610,000,000

  • Parking Space

  • Umeme

  • Chumba cha Msaidizi