Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni Kisiwani, Dar Es Salaam (900 sqm)

video thumbnail
Sh. 115,000,000

Maelezo

🏑 NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI KISIWANI – DAR ES SALAAM 🏑

Nyumba nzuri sana inauzwa eneo la Kigamboni Kisiwani, sehemu tulivu na yenye maendeleo makubwa. Nyumba hii inafaa sana kwa kuishi au kuwekeza kwa ajili ya apartment kutokana na ukubwa wa eneo lake. πŸ”₯

βœ… Vyumba 4 vya kulala
βœ… Master bedroom
βœ… Sebule kubwa
βœ… Dining room
βœ… Jiko zuri
βœ… Kiwanja ukubwa sqm 900
βœ… Imezungushiwa fence yote
βœ… Ina mpangaji anayelipa TZS 700,000 kwa mwezi
βœ… Inafaa kwa uwekezaji wa apartment
βœ… Mita 300 tu mpaka barabara ya lami
βœ… Kilomita 2 mpaka Darajani
βœ… Kilomita 4 mpaka Ferry

πŸ’° Bei: TZS 115,000,000
πŸ“Œ Mazungumzo yapo

πŸ’΅ Service charge: TZS 30,000 kwa kwenda kuangalia

πŸ“ž Call/WhatsApp: +255746407197

#creatorsearchinsights #dalalikigamboni #dalalidar es salaam #dalalinyumbaviwanja #realestateapartment dalalidaressalaam kigamboni nyumbainauzwa dar es salaam fyp viral

Matangazo yanayofanana Kigamboni, Dar Es Salaam

Nyumba inauzwa Kibada Kigamboni, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 350,000,000

  • Ardhi Tambarare

  • Karibu na Barabara ya Lami

Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Geza, Kigamboni, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 610,000,000

  • Parking Space

  • Umeme

  • Chumba cha Msaidizi

Nyumba inauzwa Kigamboni Kibada, Dar Es Salaam (1100 sqm)

Sh. 850,000,000

  • Air Conditioning

  • Parking Space

  • fenced

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kisota Kigamboni, Dar Es Salaam (700 sqm)

Sh. 175,000,000

  • Ardhi Tambarare

  • Karibu na Barabara

  • Stoo

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni Mji Mwema Kibugumo, Dar Es Salaam

Sh. 210,000,000

  • Hati

  • Ardhi Iliyopimwa

  • Karibu na Barabara ya Lami