Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni (Mikadi/Malaika Beach), Dar Es Salaam (1200 sqm)

Sh. 480,000,000

Maelezo

๐Ÿก๐Ÿ”ฅ GHOROFA LA KISASA LINAUZWAโ€“ KIGAMBONI, /MALAIKA BEACH ๐Ÿ”ฅ๐Ÿก

๐Ÿ’Ž FURSA YA KIPEKEE KARIBU NA BEACH!

Ghorofa la kisasa kabisa linauzwa Kigamboni, eneo la Mikadi/Malaika Beach, sehemu nzuri kwa makazi na uwekezaji wa kitalii. Eneo la Mikadi liko karibu na Kigamboni Ferry na lina ufukwe wa Bahari ya Hindi.

โœจ SIFA ZA GHOROFA:
โœ… Vyumba 4, vyote Master
โœ… Sebule
โœ… Dining
โœ… Jiko
โœ… Design ya kisasa kabisa
๐Ÿ“ Ukubwa wa kiwanja: SQM 1,200
๐Ÿ“„ Hati ya Wizara
๐ŸŒŠ Takribani mita 200 kutoka Beach

๐Ÿ“ UMBALI:
๐Ÿš— Mita 200 kutoka barabarani
โ›ด๏ธ Kilomita 3 kutoka Ferry
๐ŸŒ‰ Kilomita 4 kutoka Daraja la Nyerere, Kigamboni

๐Ÿ’ฐ BEI: TZS MILIONI 480
๐Ÿค Mazungumzo kidogo yapo.

๐Ÿ”ฅ GHOROFA HILI LINAfaa kwa:
๐Ÿจ Hotel
๐Ÿก Airbnb
๐ŸŽ‰ House Party
๐Ÿ  Makazi ya familia
๐Ÿ“ˆ Uwekezaji wa muda mrefu

๐ŸŒด Eneo la Kigamboni lina fursa nzuri kwa miradi ya makazi na utalii kutokana na ukanda wake wa pwani.

๐Ÿ“ž
๐Ÿ“Service Charge 30,000

#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio

Mohammed Kilala

dalali_mbezi_kibaha_mpiji

@dalali_mbezi_kibaha_mpiji

View Listings

Matangazo mengine Kigamboni, Dar Es Salaam

Mohammed Kilala