Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kijichi, Shuani, Dar Es Salaam (2000 sqm)

Sh. 260,000,000

Huduma na Sifa

Hati
Ardhi Iliyopimwa
Chumba cha Msaidizi
Dining Room
Sitting Room
Modern Kitchen

Maelezo

🏑 NYUMBA INAUZWA – KIJICHI, SHUANI

Fursa nzuri ya kumiliki nyumba kubwa na ya kisasa katika eneo tulivu, salama na linalokua kwa kasi.

πŸ“ Mahali: Kijichi, Shuani

✨ Sifa za Nyumba:

βœ… Vyumba 4, vyote Master
βœ… Sebule kubwa
βœ… Dining
βœ… Jiko la kisasa
βœ… Vyumba 2 vya nje (Out House)
βœ… Public Toilet
βœ… Kijumba cha Mlinzi (Servant Quarter)

πŸ“ Eneo:

* Ukubwa wa kiwanja: SQM 2,000
* Kimepimwa na kina Hati ya Wizara

πŸ“ Umbali:

* Kilomita 1 kutoka barabara ya lami
* Kilomita 9 kutoka Ferry
* Kilomita 8 kutoka Daraja la Nyerere
* Kilomita 4 kutoka Magogoni

πŸ’° Bei:

TZS Milioni 260 (Mazungumzo kidogo yapo.)

πŸ“ž Wasiliana nasi:
πŸ“Service Charge 30,000

#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio

Dalali Kigamboni mbavu

dalali__kigamboni_mbavu

@dalali__kigamboni_mbavu

View Listings

Matangazo mengine Kijichi, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kijichi Ushuani, Dar Es Salaam (2000 sqm)

Sh. 270,000,000

For Sale4 beds4 baths2,000 sqmhouse
Dalali Kigamboni mbavu