Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kijitonyama, Dar Es Salaam (400 sqm)

Kijitonyama, Dar Es Salaam
22 days ago
Sh. 990,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba inauzwa ipo Kijitonyama jirani na Mabatini nyumba ni nzuri sana, mpya na ya kisasa, haijawahi kukaliwa. Ina vyumba 4 vitatu self contained, Eneo lina sqm 400. Inataka milioni 990. (Maongezi yapo) hati safi ipo.
call wasap
0714592413














