Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kinyerezi Mwisho, Dar Es Salaam (2000 sqm)

Sh. 450,000,000

Maelezo

🏑 NYUMBA MPYA INAUZWA – KINYEREZI MWISHO ✨

Unatafuta nyumba ya kisasa yenye eneo kubwa na mazingira mazuri? Hii ndiyo fursa yako!

πŸ“ Location: Kinyerezi Mwisho
πŸ“ Ukubwa wa Kiwanja: SQM 2,000
πŸ“œ Hati Miliki ya Wizara

Main House:
πŸ›οΈ Vyumba 4 (kimoja ni Master Bedroom)
πŸ›‹οΈ Sebule kubwa
🍽️ Dining
🍳 Jiko la kisasa lenye makabati ya juu na chini
πŸ“¦ Store
🚻 Choo cha wageni (Public Toilet)

Nje ya Nyumba:
πŸ›οΈ Chumba 1 cha Master
🍳 Jiko la nje
🚻 Choo cha nje

βœ… Nyumba imejengwa kwenye eneo kubwa bila kubana, ikiwa na nafasi ya kutosha kwa matumizi mbalimbali au maendeleo ya baadaye.

πŸ’§ Huduma za Maji:
βœ”οΈ Maji ya DAWASA yanapatikana saa 24
βœ”οΈ Kisima chenye motor
βœ”οΈ Hakuna changamoto ya maji wakati wowote.

🌳 Mazingira ni mazuri, neighborhood tulivu, na panafikika kwa urahisi mwaka mzima.

πŸ’° Bei: TSh 450,000,000 (Ina nafasi ya mazungumzo kwa mteja mwenye nia ya kweli.)

πŸ“ž Viewing Fee: TSh 30,000/=

NIPIGIE CM CHAP

Dalali_mbezi_malamba _kifuru

dalali_mbezi_malamba_kifuru

@dalali_mbezi_malamba_kifuru

View Listings

Matangazo mengine Kinyerezi, Dar Es Salaam

Dalali_mbezi_malamba _kifuru