Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kivule, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 36,000,000

Maelezo

YA LEO LEO ujanja kuwahi tu
Nyumba inauzwa million 36
kivule njia panda shule wilaya ya ilala dar

0759128747 0624436503

Vyumba jumla vinne (chumba cha 4 kipo nje)
Sebule dinning jiko choo cha public
Tiles jipsam maji umeme jiko
Fence kote
Gari moja hadi mjini
Nyaraka ya serikal ya mtaa

Matangazo mengine Kivule, Dar Es Salaam