Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Madale Mivumoni, Dar Es Salaam (1600 sqm)

Aina
Nyumba
Vyumba
4
Bafu
5
Ukubwa
1600 SQM
Barabara ya Karibu
50m
Huduma na Sifa
Maelezo
Ghorofa nzuri sana inauzwa: 470 millions mazungumzo
Room 4 zote self
Dining,sitting, jiko, stoo, public toilet mabanda ya kuku na mbwa na maji dawasco
Square meters 1600
Umiliki-Hati miliki
📍Location - Madale mivumoni jirani na lami
Umbali-Mita 50 kutoka lami
0714733355 nipigie/WhatsApp















