Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Madale Mivumoni, Dar Es Salaam

Aina
Nyumba
Vyumba
4
Bafu
5
Ukubwa
1600 SQM
Barabara ya Karibu
50m
Huduma na Sifa
Maelezo
Ghorofa nzuri Sana inauzwa:
Room 4 zote self
Dirning sitting jiko stoo public toilet mabanda ya kuku na mbwa na maji dawasco
Eneo-sqm 1600
Umiliki-hati miliki
Bei-ml 470 maongezi
Location - madale mivumoni jirani na lami
Umbali-Mita 50 kutoka lami
0745559598 call/wasap















