Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mikwambe, Dar Es Salaam (300 sqm)

Sh. 33,000,000

Maelezo

🏑 NYUMBA YA KUANZIA MAISHA INAUZWA – KIGAMBONI, MIKWAMBE 🏑

Unatafuta nyumba yenye mapato ya uhakika katika eneo lenye biashara? Hii ni fursa nzuri kwako!

✨ Sifa za Nyumba:
βœ… Vyumba 4 vya kupangisha (kimoja ni master)
βœ… Eneo la takribani SQM 300
βœ… Shimo la choo tayari
βœ… Tayari kuna wapangaji, hivyo utaanza kupata mapato mara moja

πŸ“ Mahali:
β€’ Mita 500 kutoka barabara kuu
β€’ Kilomita 10 kutoka Ferry
β€’ Kilomita 9 kutoka Daraja la Nyerere

πŸ“„ Nyaraka: Serikali ya Mtaa

⚑ Huduma Zinazopatikana:
βœ”οΈ Umeme
βœ”οΈ Maji
βœ”οΈ Eneo lenye shughuli nyingi za biashara

πŸ’° Bei: TSh Milioni 33 (Mazungumzo yapo)

πŸ’΅ Service Charge: TSh 30,000

πŸ“ž Wasiliana Nasi:

#trendingpage #istagram #realestatemarket #realestateagent #trendingaudio

Dalali Kigamboni mbavu

dalali__kigamboni_mbavu

@dalali__kigamboni_mbavu

View Listings

Matangazo mengine Mikwambe, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Mikwambe, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 29,500,000

For Sale6 beds400 sqmhouse
Nyumba inauzwa Mikwambe, Dar Es Salaam

Sh. 48,000,000

For Salehouse
Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mikwambe, Dar Es Salaam (500 sqm)

Sh. 145,000,000

For Sale3 beds0 baths500 sqmhouse
Dalali Kigamboni mbavu