Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Msongola, Dar Es Salaam

Aina
Nyumba
Vyumba
4
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA MPYA,VYUMBA 4,TSHS.45 MILIONI,MSONGOLA.
Ni nyumba ya kisasa ya KUHAMIA.
Vyumba 4 ( Masta 1)
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Ipo ndani ya Fensi na Parking ina
Paving na ni ya kutosha.
Hapa ni Gari moja tu kufika Mjini,
Mungu akupe nini tena?
WAHI WAHI WAHI.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
____________mskv















