Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Pugu Kajiungeni, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA YA VYUMBA 4,TSHS.80 MILIONI TU, PUGU KAJIUNGENI.
Ni nyumba kubwa inayojitegemea lakini pia yenye banda la Chumba kimoja na Sebule pembeni.
Vyumba 4 (Masta 1),
Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.1,000.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ndani ya Fensi na jirani na Barabara ya Lami.
Mtaa ni tulivu na umejengeka vizuri.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
___________tP















