Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Tabata Sanene, Dar Es Salaam (800 sqm)

 media -1
media -1
Sh. 260,000,000

Maelezo

Nyumba nzuri sana inauzwa bei ya sh milion 260. Ukubwa wa eneo la kiwanja square meter 800. Hii nyumba ina vyumba 4 vya kulala vyumba 2 master bedrooms. Sebule zipo 2 kubwa. Dining zipo 2 kubwa. Jiko zuri. Store. Public toilet zipo 2. Full document yani hati miliki ya wizara ya aridhi hipo. Full air-condition na fan kila chumba @. Electric fence. jiko la nje pia lipo pia. Kutoka kituoni dakika 2 hadi 4 hivi. N.k. Hii nyumba ipo maeneo ya tabata sanene dar es salaam

Calls/Whatsapp 0768682919 au 0653233641

Service survey charge tsh 50000
/

Matangazo yanayofanana Tabata, Dar Es Salaam