Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Uzunguni, Tanga (600 sqm)

Aina
Nyumba
Vyumba
4
Ukubwa
600 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA YENYE HATI, VYUMBA 4,TSHS.155 MILIONI,UZUNGUNI,TANGA MJINI.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.600
Umilikini HATI (Title Deed) ya Wizara.
Ni nyumba nzuri,
YAKISASA NA ya KUHAMIA.
Vyumba 4 vya kulala ( 2 Vyoo ndani)
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani
Parking ipo ya kutosha.
Kwa Usalama wako na Mali zako kuna Mfumo wa Ulinzi wa Uzio wa Umeme (Electric Fence)
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_______________zw
