Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Goba Lastanza, Dar Es Salaam (850 sqm)







Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA INAUZWA YA PILI KUTOKA LAMI,
GOBA LASTANZA, IPO LAMI KABISA
INA HATI MILIKI,
Vyumba 5 vya kulala, 4 ni masters
Sebule kubwa
Dining room
Public toilet
Jiko kubwa lenye makabati
Fance wire
CCCT Camera
Ndani ya fensi,
Ukubwa wa Eneo ni SQM 850,
Bei 690m, mazungumzo yapo
0745559598 call/WhatsApp















