Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam







Kigamboni, Kigamboni, Dar Es Salaam
4 months ago
Sh. 480,000,000
Aina
Nyumba
Vyumba
5
Maelezo
Nyumba inauzwa kisota Kigamboni dar es salaam: bei Milioni 480
0759128747 0624436503
0712058357 whatsapp
nyumba ya vyumba 5 vyakulala vyumba vyote ni self contenad Master Bedroom stoo nyumba ipo kalibu na Barbara kuu kabisa kutoka lami mita 100 kufika ktk nyumba boss wangu nkuzie hii nyumba nzuri sana
