Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kijichi Ushuani, Dar Es Salaam (2000 sqm)

Aina
Nyumba
Vyumba
5
Ukubwa
2000 SQM
Barabara ya Karibu
200m
Huduma na Sifa
Maelezo
🏡 NYUMBA YA KIFAHARI INAUZWA – KIJICHI USHUANI (KWA MATAJIRI)
Unatafuta nyumba kubwa, tulivu na yenye hadhi? Hii ni chaguo sahihi kabisa!
✨ Maelezo ya Nyumba Kuu:
• Vyumba 5 (4 Master)
• Sebule kubwa
• Dining
• Jiko la kisasa
🏠 Nyumba ya Wageni (Servant Quarter):
• Vyumba 2
• Sebule
• Jiko
🍳 Pia kuna jiko la nje
💧 Huduma Muhimu:
• Kisima cha maji (hakuna shida ya maji)
📐 Ukubwa wa eneo: SQM 2,000
📄 Umiliki: Hati ya Wizara
📍 Location: KIJICHI Ushuani
• Mita 200 tu kutoka barabara ya lami
• Eneo tulivu, salama na lenye hadhi ya juu
🌿 Mazingira mazuri yenye utulivu wa kutosha – yanafaa kwa familia ya kisasa au uwekezaji
💰 Bei: Milioni 300 Tsh (Mazungumzo yapo)
📞 0769554221
#trendingvideos #tanzania🇹🇿 #istagram #realestateforsale #trendingnow
