Tafuta

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam (600 sqm)

video thumbnail
Sh. 350,000,000

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Barabara
Dining Room
Store Room

Maelezo

NYUMBA IYO INAUZWA
@
Bei milioni 350 ((( maongez)
@
Kimara temboni
@
Kutoka lami adi kwemye nyumba KM 1.5
@
Ukubwa wa kiwanja sqm 600
@
Inavyumba 5 na vyumba 3 ni master sebule jiko choo stores diningi ipo
@
Ipo kwenye kutafutiwa hati miliki
@
Pazur sanaa gar linafika safi kabisa
@
Garama ya kupelekwa ni sh 50000
@
Kwa mawasiliano ya sm 0796808018
@
Namba ya wasp 0659848687