Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Madale Msigani, Dar Es Salaam (225 sqm)

Msigani, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 50,000,000
Aina
Nyumba
Vyumba
5
Ukubwa
225 SQM
Barabara ya Karibu
5km
Huduma na Sifa
Umeme
Karibu na BarabaraMaelezo
Inauzwa ipo madale msigani km 5 kutoka lami ina vyumba vitano vya kulala na kordo yake haina sebule wala jiko ni vyumba tu na Choo cha nje kiwanja ni 15 kwa 15 umeme upo ni karibu na barabara inayoandaliwa kupigwa lami milioni 50 maongezi yapo.0714539608
0762089247
