Tafuta

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam (1800 sqm)

 media -1
media -1
$ 1,200,000

Maelezo

NYUMBA YA KIFAHARI INAUZWA MBEZI BEACH πŸ—Ίβœ¨

Inatafuta mmiliki mpya! Hili ni ghorofa la kisasa na la kipekee lililopo kwenye moja ya maeneo ya hadhi ya juu kabisa Mbezi Beach, jirani kabisa na Ramada Hotel. Nyumba hii inatoa mchanganyiko wa kipekee wa usalama, utulivu, na muonekano mzuri wa bahari.

Sifa za Jengo:

πŸ“ Ukubwa wa Kiwanja: Sqm 1800 (Eneo pana sana)

πŸ“‘ Unyaraka: Inamilikiwa kwa Hati Miliki (Clean Title Deed)

πŸ› Vyumba: Vyumba 5 vya kulala (kati ya hivyo, 4 ni masta)

πŸ›‹ Sebule: Sebule 2 kubwa na za kisasa zenye mwanga mzuri wa asili

🏠 Boycott (Bycotta): Ipo kwa ajili ya watumishi au wageni

πŸŠβ€β™‚οΈ Swimming Pool: Bwawa safi na kubwa la kuogelea

🌊 Location: Dakika chache kutoka ufukweni, yenye view nzuri ya bahari

πŸ’° Bei: USD 1,2 (Dola Milioni 1,2)
Kama unatafuta makazi bora yenye viwango vya kimataifa kwa ajili ya familia yako au uwekezaji, hii ndio fursa yenyewe.

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi na kufanya booking ya kuitembelea:

O749247010

Matangazo yanayofanana Mbezi, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam (700 sqm)

Sh. 90,000,000

For Sale3 beds700 sqmhouse
  • Dining

  • Jiko

  • Sebule

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam (1200 sqm)

Sh. 270,000,000

For Sale4 beds3 baths1,200 sqmhouse
  • Jiko

  • Dining

  • Sebule

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Beach Jogoo, Dar Es Salaam (300 sqm)

Sh. 145,000,000

For Sale3 beds2 baths300 sqmhouse
  • Makabati ya Jiko

  • Public Toilet

  • Balcony

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Mwisho Msumi, Dar Es Salaam

Sh. 38,000,000

For Sale3 beds2 bathshouse
  • Jiko

  • Dining

  • Sebule

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam (1200 sqm)

Sh. 270,000,000

For Sale4 beds3 baths1,200 sqmhouse
  • Dining

  • Jiko

  • Sebule

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam (500 sqm)

Sh. 80,000,000

For Sale3 beds500 sqmhouse
  • Jiko

  • Dining

  • Sebule

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Beach Jogoo, Dar Es Salaam (300 sqm)

Sh. 145,000,000

For Sale3 beds2 baths300 sqmhouse
  • Hati

  • Parking Space

  • Balcony

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam (500 sqm)

Sh. 80,000,000

For Sale3 beds500 sqmhouse
  • Dining

  • Jiko

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam (500 sqm)

Sh. 80,000,000

For Sale3 beds2 baths500 sqmhouse
  • Dining

  • Jiko

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam (1800 sqm)

$ 1,200,000

For Sale5 beds1,800 sqmhouse
  • Hati

  • Swimming Pool

  • Chumba cha Msaidizi

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam (300 sqm)

Sh. 145,000,000

For Sale3 beds300 sqmhouse
  • Hati

  • Parking Space

  • Sliding Windows

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Beach Jogoo, Dar Es Salaam (300 sqm)

Sh. 145,000,000

For Sale3 beds2 baths300 sqmhouse
  • Hati

  • Makabati ya Jiko

  • Chumba cha Msaidizi

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam (500 sqm)

Sh. 80,000,000

For Sale3 beds500 sqmhouse
  • Jiko

  • Dining

  • Sebule

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Kwa Msuguri, Dar Es Salaam (1500 sqm)

Sh. 120,000,000

For Sale1,500 sqm
  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Karibu na Barabara