Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 400,000

Aina

Nyumba

Vyumba

3

Maelezo

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI

<> location kisiwani

<> nyumba ina vyumba vitatu kimoja Master sebule dining na jiko (stand alone)

✅nyumba iko fenced
✅nyumba ina parking
✅nyumba iko barabarani
✅nyumba inajitegemea
✅nyumba mpya na safi

<> asking price tsh,, 400k per month
mwezi moja wa dalali kisiwani

<> services charge 20k zingatia utalatibu

◾️mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837

Tafuta unachotaka Kigamboni, Kigamboni, Dar Es Salaam