Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mkolani, Mwanza

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 6,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

3

Maelezo

MKOLANI MWANZA
NYUMBA INAPANGISHWA
VYUMBA VITATU VYA KULALA ((SELF 1))
SEBURE
JIKO
HEATER
AC
CAR PARKING
ELECTRIC FENCE
REMOTE CONTROL GATE
BEI MIL 6 MWAKA MZIMA
MALIPO MWAKA MZIMA
0767241001
NB
NYUMBA YA PILI KUTOKA KWENYE RAMI