Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Pugu Kona, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 300,000 per month

Aina

Nyumba

Vyumba

3

Bafu

1

Barabara ya Karibu

3m

Huduma na Sifa

Umeme
Tiles
Gypsum
Inajitegemea
Uzio
Maji

Maelezo

Nyumba Inapangishwa laki 3 Kwamwezi. Ipo Pugu Kona Dar es salaam. Vyumba 3 Kimoja Master Sitting room jiko na Public Toilet. Nyumba ipo ndani ya fensi Inajitegemea. Nyumba Ina Umeme na Maji safi. Nyumba Ina Tiles na jypsum. Mkataba Kodi ya Miezi 6. Umbali kutoka Main road Hadi Kwenye Nyumba ni dakika 3 Kwa Miguu.