Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 1,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

3

Maelezo

Nyumba mpya inapangishwa Tabata Segerea Kwa Bibi. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).

- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko la kisasa
- Water heater anaweka
- A/C anaweka
- Public toilet
- Maji 24/7
- Dakika 1 kutoka kituoni

Kodi 1,000,000/=.

Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.

Muhitaji piga 0688 412 890.