Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Wazo, Dar Es Salaam



Aina
Nyumba
Vyumba
3
Maelezo
Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Tegeta Wazo Msigani
Ina Vyumba vitatu vya kulala, kimoja ni Master, Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Public Toilet.
Umeme wa Luku
Dawasa
Bei ni laki 4
Gharama ya kuona
20,000
Wasiliana nami
0718 809 744




















