Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Wazo Msigani, Dar Es Salaam

Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
2
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Wazo Msigani
Ina Vyumba vitatu vya kulala, kimoja ni Master, Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Public Toilet.
Umeme wa Luku
Dawasa
Bei ni laki 3
Gharama ya kuona
20,000
Wasiliana nami
0718 809 744




















