Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Chamazi Mikumi, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 79,000,000

Maelezo

🏑 NYUMBA KALI YA KISASA INAUZWA – MILIONI 79 TU!

πŸ“ Mahali: Chamazi Mikumi
πŸ›£οΈ Dakika 1 tu kutoka barabara kuu ya lami.

Muundo wa nyumba:
βœ… Vyumba 3 vya kulala
βœ… Master Bedroom 2
βœ… Sitting Room
βœ… Dining Room
βœ… Jiko la kisasa
βœ… Store
βœ… Kisima cha maji
βœ… Full AC
βœ… Fensi ya waya wa umeme

πŸ”₯ Bei ni Milioni 79 tu!

Mwenye nyumba amevurugwa kifedha, hivyo hii ni nafasi nzuri kwa mnunuzi makini. Wahi kufika site ukague nyumba kabla haijachukuliwa.

πŸ“ž Kwa maelekezo zaidi, piga simu au WhatsApp: 0683 665504

Matangazo mengine Chamazi, Dar Es Salaam