Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Chanika, Dar Es Salaam

Aina
Nyumba
Vyumba
3
Maelezo
Nyumba inauzwa
Location Hi ipo dar chanika mwisho jirani na kanisa katoliki st thomas
inavyumba 3 kimoja master seble 2(dining na sitting room) varanda mbili nyuma na mbele
Bei 23m
0742941423




















