Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Chanika Mwisho, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 50,000,000

Huduma na Sifa

Hati
Parking Space
Karibu na Barabara ya Lami
Gypsum
Tiles
Umeme

Maelezo

Nyumba Inauzwa Million 50 Ipo chanika mwisho

0759128747 0624436503

✅️Hati halali ipo
✅️Parking kubwa
✅️Huduma safi za kijamii zipo
✅️Dakika 2 kutoka lami

✔️Vyumba Vitatu Kimoja master.
✔️Sebule
✔️Jiko
✔️Choo Public
✔️Tiles jipsam umeme maji
✅️ndani ya fensi.

☎️O712058357

Matangazo mengine Chanika, Dar Es Salaam