Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam (400 sqm)

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 295,000,000

Maelezo

.. O711258592
✨Nyumba nzuri sana na kubwa ipo karibu na lami inauzwa Ina vyumba vitatu vikubwa kimoja ni masterbedroom, sebule kubwa, dinning , stoo kubwa na jiko lakisasa Lina makabati mazuri sana full Ac & heater

✨Ina matenk ya maji, Cctvs cameras, mlinzi na parking kubwa

✨Documents: Ina hati miliki

✨Ukubwa wa Eneo sqmt 400

✨Location: Goba -njia y massana(Dakika moja tu kwa Mguu kutoka lami)

✨Bei million 295 (maongezi yapo)

🙏🏽karibu sana boss wangu fanya kazi na madalali tuonaotambulika kisheria hepuka matapeli , ofisi zetu zinapatikana nyuma ya Skycity mall

🙏🏽kwa mawasiliano zaidi tupigie:O711258592

Matangazo mengine Goba, Dar Es Salaam

Nyumba inauzwa Goba, Dar Es Salaam

Sh. 1,900,000,000

For Salehouse
Nyumba (Furnished) ya vyumba 6 inauzwa Goba Kinzudi, Dar Es Salaam (921 sqm)

Sh. 1,700,000,000

For Sale6 beds921 sqmFurnishedhouse
Nyumba ya vyumba 8 inauzwa Goba, Dar Es Salaam

Sh. 1,800,000,000

For Sale8 bedshouse
Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Goba, Dar Es Salaam (850 sqm)

Sh. 550,000,000

For Sale4 beds850 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Goba, Dar Es Salaam (850 sqm)

Sh. 550,000,000

For Sale4 beds850 sqmhouse
Nyumba ya vyumba 7 inauzwa Goba, Dar Es Salaam

Sh. 2,000,000,000

For Sale7 bedshouse
Nyumba ya vyumba 8 inauzwa Goba Center, Dar Es Salaam (2500 sqm)

Sh. 1,800,000,000

For Sale8 beds2,500 sqmhouse