Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba Lastanza, Dar Es Salaam (700 sqm)









Maelezo
✨Nyumba mpya kali sana na kubwa sana inauzwa. O719969102
✨Ina gardens, cctvs cameras na parking kubwa
✨Ina vyumba vitatu vikubwa vyote masterbedrooms, sebule kubwa, dinning na jiko kubwa lakisasa
✨Ukubwa wa kiwanja: sqmt 700
✨Bei: million 430 (maongezi yapo)
✨Location: GOBA Lastanza
✨Documents: HATI MILIKI
✨Umiliki : Mmoja
🙏🏽karibu sana boss wangu fanya kazi na madalali tuonaotambulika kisheria hepuka matapeli , ofisi zetu zinapatikana nyuma ya Skycity mall
🙏🏽karibu kwa mawasiliano zaidi tupigie: O719969102















