Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba Njia Ya Makongo, Dar Es Salaam (500 sqm)

video thumbnail
Sh. 400,000,000

Huduma na Sifa

Umeme
Parking Space
Uzio
Fence ya Umeme
Boykota Chumba Master
Security

Maelezo

Nyumba Mpya Kali Sana Inauzwa
Mahali: Goba Njia Ya Makongo

Bei: Milioni 400

☑️Ukubwa: Sqm500
☑️Sifa:- Nyumba Kubwa: Vyumba 3 Kimoja Master Sebule, Jiko & Choo
ina Boykota Chumba Master
☑️Fensi Ya Umeme, Parking, Security, Garden
☑️Majirani Wapo Safi Sana
☑️Unanunua Na Kuhamia

Gharama Ya Kuoneshwa Ni 50,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate.

Ofisini: Sinza Palestina (Kwa Babu Sea)

Call & Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988, 0622651649, 0650659988

Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏

#MasterRealEstate #MasterMijengo #DalaliMasterTz #whereluxurymeetslifestyle